Thursday, 7 June 2007

Kelly Rowland Ndani Ya UK!


Huyo ndio mrembo Kelly Rowland akiwa ndani ya jiji ya london akiw anaipa shavu album yake mpya inayokwenda kwa jina la Miss Kelly na kukamua shoo kabambe za kufa mtu...kusema ukweli mrembo Kelly ni soo sana kwa kuimba mpaka na kupiga pamba nyepesi..mnaonaje mapigo yake kuanzia hiyo miwani black,kibody tight black,skin jeans black na hiyo simple shoes black na kumalizia na mkoba wa brown na black ni sooooooooo....

1 comment:

S & R said...

I love kelly, I love kelly, I looooooooooove kelly...gorgeous and plus black suits everyone and Miss Kelly is making a statement with that bag which I love and the glasses and the hair suits!!I think she is one of the most naturally beautiful women in the world!!