





Haya mabinti leo nimeona niwawekee mapigo kidogo ya kispoti spoti flani...nadhani kwa hayo mapigo kila mmoja wenu atakuwa ameingia mkenge kwa ujumla maanake nimekupangia kuanzia Glitter Inset Bangle,Marbled Earring,Princess Manchester Sunglasses,OBEY Stardust T-Shirt,Calypso Casual Short na Rocket Dog Kitten Shoe....
1 comment:
I like the sunglasses, the short and the shoes...luv da outfit...it's candy1
Post a Comment