Tuesday, 19 June 2007

Little X Ndani Ya Jumba La Maana!

Hayo ndio mambo ya little x jinsi alivyolipuka pamba kali na majumba ya maana sana..mnasemaje suti hizo zilivyotulia wadau zangu?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Kama ni suti basi hizi ndio suti za ukweli na jamaa aliyefanya kazi hii namkubali hasa sababu jamaa wametoka bomba sana kuanzia juu hadi chini wamelipuka safi sana especially material ya hiyo suti yako safi sanaa pia tie ziko bomba