Napenda kumshukuru sana mdau wangu Jessica ambaye pia ni mdogo wangu kwa kunitumia hiyo stock yake nzuri sana na kulipuka simple mapigo ambayo yanalingana kidogo na picha za stock nilizoweka hapo chini..na kama nilivyowaambia kwamba mavazi ya namna hii yaawapenda warembo wenye umri kama huo na kuendelea...Thx Lil'Sis 4ur nice pic...keep it up!
2 comments:
Nice fashioned lil sis...she's actually not little...haha..jokes...it's candy1
Oh yeahh jeka mamiiii' umelipuka
kama kawaidaa...1lv..
Post a Comment