Monday, 11 June 2007

Mambo ya Cap!







Hayo ndio mambo ya uvaaji wa kofia au chepeo au cap kwa kizungu inavyojulikana na wengi pindi inapojumushwa na t-shirt na jinsi mwonekano wako huo hivyo...tukianzia juu nimewadunga kwanza Billabong Nice Guy Hat,Cowry Shell Necklace,Che' T-shirt,Affliction Cross Jean na kumakandamiza chini na Punkrose Lounge Shoe....nadhani hapo mdungo umekamilika wakurugenzi wangu kazi kwenu.....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ebwanaa hii stock ni soo ukianzia kwenye kofia ya billabong na t shirt ya Che ni bomba sana pamoja na Punkrose Lounge shoes bomba sana