Thursday, 21 June 2007

Mambo Ya Daytrip!






Jamani wakuu hayo ni mambo ya kujibachua nayo pale pindi unapopata misele ya hapa na pale ndio ukilipuka hivi angalau utajisikia mwepesi kidogo kupiga round zako mtaani mnaonaje hilo Messenger Bag,Twine Cuff,Tea Stained Necklace,Billabong Aberdeen T-Shirt, MEK Osaka Jean na hizo Reclaim Covert Flip.nadhani hapo kamanda wangu nash,gusto mtakuwa mmesimama wima na stock hiyo...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

The design of the sandals its nyc i really like and the sandals luks light too