




Hayo ndio mambo ya kumix colour ya gold na purple yanavyovutia...tazama kwa umakini rangi nilivyoziweka kuanzia pochi mpaka kiatu.....bai kuanzia juu nilianza kuwapa kwanza Metallic Tote,Morgan Rivet Sunglasses,Billabong Ladue Top,Freshwear Plaid Casual Short na kukandamiza na hicho kiatu flat kinachokwenda kwa jina la CL By Laundry Katlyn Shoe....Nadhani mrembo Anna atakuwa kashekamata hiyo stock longtime maanake hayo ndio mambo yake...haa ahha
2 comments:
mmh nina gold shoes kama hizo but i havent decided for gold handbag. hii imeniattract im gonna buy one soon
aisha habib
Yaani rangi zimechanganyika na zimependeza zote kwa pamoja..Keep It Up Sheria...u knw how 2 match...it's candy1
Post a Comment