
Nimeona leo niwape stock hata watu wanaopenda kulipuka stock za kiutu uzima kama uonavyo pichani kuanzia hiyo saa matata sana,blazer la brown with strips nyembamba,shati na tai,black belt,black trouser na mkwaju matata black..nadhani wakuu na wazee mmeona mlipuko huo!
1 comment:
Mimi nimependa sana hilo koti pamoja na tai na shati lake,outfit ni zuri sana na the way koti rangi yake ilivyo imetulia sana including the stripped tie
Post a Comment