Friday, 1 June 2007

Mambo Ya Simple Mtuko Warembo!
















Naona hiyo stock hapo pichani sina haja ya kuendelea kuwaelezea zaidi maanake naweza nikapunguza utamu tena.....embu tazama kuanzia hiyo Oversized Hoop Earring,Multi Chain Necklace,Daytrip Floral Tank,Guess Daredevil Stretch Jean na kumalizia na msumari huo wa mwisho kwa kuwamalizia na usafiri huo unaojulikana kama Charles Albert Debra Shoe....mnasemaje warembo na hiyo stock...sophia,rehema na salma mpo hapo?

3 comments:

Anonymous said...

I love it I love it...S.O.

DO FEEL FREE TO visit my site at youngafrica.com !!

Anonymous said...

Sorry that was supposed to be youngtanzania.blogspot.com !!I think after visiting alot of TZ sites by tanzanians in TZ you are the only one who is on point with fashion!!

shamim a.k.a Zeze said...

hey boy u have a taste nimekukubali