Sunday, 10 June 2007

Mambo Ya Sweater!









Ukisikia uvaaji wa masweater au aina flani ya sweater usishangae kwakuwa kwasasa fashion hiyo iko juu sana na uvaaji wake pia unavutia...kwa mfano pichani unaona nimekudunga stock ya Blue stripe knit top sweater,White linen shirt,Nearly black '512' denim jeans pamoja na navy Bally Cineas hiyo....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mimi hilo shati na sweater tu.....