Wednesday, 6 June 2007

Mapigo Simple Kwaajili Ya Warembo!




















Ni simple sana kwa kila mrembo kujikwatua nayo na vilevile yameenda shule si mchezo...tukianzia na Black squashy clutch handbag,Fossil Circle Watch,A.J. Morgan Wiley Sunglasses,Freshwear Embroidered Floral Shirt,Spacegirlz Herringbone Gaucho Pant na kiatu hicho ambacho kimesimamia kucha kwa kwenda mbele....warembo jessica,lulu na conje mpo hapo kamate stock hiyo!


No comments: