Thursday, 14 June 2007

Mlipuko Huo....!










Nimeona leo niwachape huo mdungo huo pichani mue ni jinsi gani mnaweza mkajichanganya wakurugenzi kulipuka na style mbalimbali...nimeona niwape stock hiyo nikijumuisha kuanzia Fossil Ion Plated Watch,A.J. Morgan Mumbles Sunglasses,RVCA Fu Dog T-Shirt,Plaque Belt,Lucky Brand Dusty Derby Jean na kumalizia na Hugo Boss..

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Jinsi kiatu kilivyoenda sawa sawa na t shirt ni sooo rangi adimu hizo halafu na art iliyofanyika kwenye t shirt lazima uikubali big up sheria