Mtoko huo wazee ambao unaweza ukalipuka nao ukiwa unaenda job u sehemu yoyote iliyoko official flani..nimeona nikupaie mchanganyiko kuanzia Black YSL print shirt,Brown Leather Belt,Draft Trouser na mkwaju huo chini...Derrick upo mkuu?
2 comments:
Anonymous
said...
Babu hiyo suruali inaitwa "plaid". Umesahau kuweka fossil hapo maana ndio bakora yako hiyo.
Duh hiyo suruali ni bakora kishenzi lazima uwachape nayo sana ukiwa sehemu halafu chini umekandamiza na huo mkwaju lazima watu wasimame wima wacheki vitu vyako nimekukubali mdau sheria....

Post a Comment