




Hizo ni pamba nyepesi warembo kwaajili ya weekend maanake imeshaanza iko njiani muda si mrefu....basi warembo hakuna haja ya kujipigilia sana ni wewe jaribu kuvaa kama Black squashy clutch handbag,A.J. Morgan Margie Sunglasses,Daytrip Floral Tank,Star Crop na hizo BKE Sole Grace Shoe...jamani sophia mk upo?mbona kimya kimezidi?
3 comments:
Lovely..it looks nice..the top is absolutely stunny..wish culd hv all the things that u r puttin here sheria...nice job..it's candy1
Mavazi nimeyakubali je yanapatikana maduka gani hapo bongo?
thx sana mdau wng mkubwa candy1...na pia anonymous hapo juu ambaye pia ni mdau wng napenda kukutaarifu ya kwamba stock zinapatikana kwangu na ziko za aina tofauti tofauti...kama ukitaka stock hizo niandikie through ma email sheria.ngowi@gmail.com..karibu sana
Post a Comment