Sunday, 10 June 2007

Royal Classic!




Hayo ndio mambo ya royal clsic outfit....nadhani wengi wenu warembo mshaona uvaaji huu ulivyo matata na jinsi gani mrembo yoyote akijiliua nao anaonekanaje?embu kumbuka uonapo mashindano ya mbi za farasi mtoni warembo wanapolipukamakofia ya kila style na kila ina na kupendeza kwa kiasi gani?Sasa tazama stck hii nimejaribu kukuwekea Python print front pocket grab bag,Snake print hat,Brown spot halter neck dress na kumalizia na Snake Leather Heels....


1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

For the fashionable ladies out there