Saturday, 23 June 2007

Same Girl- R.Kelly Ft Usher! Lipuka Bovu.....



Embu wadau zangu tazameni pamba na mapigo makali walivyoyapiga mapigo makali hawa wanamziki R.Kelly Na Usher...Da Jamaa hawa ni soo embu jaribuni kutazama Bodyfit Suits walizoulamba ndani ya video hii...Ni soooooooooooooooooooooo embu niambie nani kalipuka pamba kali na katoka nyoko wadau zangu....

No comments: