Sunday, 17 June 2007

SIMON WEBBE!





Simon webbe ni mmoja wa wanamziki waliounda kundi la Blue...ingawa kwasasa anafanya kazi zake kama Solo Artist ila jamaa yuko juu sana katika nyanja mbalimbali na jamaa pia ni mwanamziki,model,designer,sngwritter na producer na sasa ni acto wa movie huko mbele...kusea kweli mkurugenzi huyu anajua sana kulipuka pamba simple na bodyfit flani ambazo zinaendana sawia na body yake......

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Jamaa kalipuka fresh sana especially picha ya pili katoka bomba nimekubali hilo shati pamoja na jeans kakandamiza fresh sana na mshikaji pembeni

Anonymous said...

he was ma favourite singer in the group "Blue"...he dresses nice as well