Unaposikia mrembo unaenda for shopping somewhere basi hata wewe inakubidi in 1 way uvae stock simple ili hata unapokwenda huko kukusanya mazagazaga basi wajue na wewe huwa hukopeshi kwenye kujilipua...kama mdau wangu mkubwa hapo pichani akiwa amelipuka simple na katoka simple kinoma...hapo ndipo nawakubali sana wabongo kw kujilipua popote...Gud Job Judith...nice pic
5 comments:
Amependeza sana huyu dada,mzee mzima wa sheria na mavazi ######## naomba namba yake
mtoto mkali hata bila hayo mavazi bado ni mzuri na she's has nice body pia...sheria kai nzuri sana ya blogu yako...tunakukubali
Good Girl...a simple and nice outfit...it's candy1
She's nice and pretty
She is so cute......
Post a Comment