Friday, 1 June 2007

Stock!














Mnaonaje hiyo style ilivyokuwa simple wakurugenzi kama ukiwa umejiachia na style kama hizo hapo kwenye mitoko ya karibu karibu isiyo rasmi....kama kwenda shopping hivi,beach,kupiga mululu kama ukiwa umeulamba simple namna hiyo?juu nimeona nikupe sunglassess,Quiksilver Lost Keys Polo,Guess Edward Boot Jean na Quiksilver Carver Flip?haki vipi upo hapo mkuu wangu nadhani umeona style yako hiyo?



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Sandals na jeans ziko bomba sana hasa sandal za quicksilver zimesimama sana ukimechisha na jeans zinakutoa kisawasawa