



Leo nimeona niwape mitoko ya mitaa (street style) ambayo ni style ambayo warembo wadogo wanalipuka nayo sana,ila mapigo hayo sio kwamba haya mapigo yanatakiwa au yanastahili yavaliwe na warembo wadogo hata warembo wenye umri tofauti tofauti ila msisahau kwamba yanawapendeza wale wenye maumbo mwembamba ndio yanawatoa fresh..hapo nimewapa kuanzia Rocket Dog Krush Shoe,Miss Me Bermuda Short,BKE Scoop Neck Tank,Daytrip Hooded Top na kumalizia juu na Sunglasses hizo...Jessica upo hapo ma lil'sis?
2 comments:
I admire the shoes and the jeans short...Nice combination..it's candy1
I agree with candy its a nice combination and for slim people its definetly good outfit for them ladies
Post a Comment