Friday, 8 June 2007

Styles....Styles!!!!!!!!!!!!!!!!!!!






Hayo ni mambo ya kujilipua na style za mavazi na catalogue mbalimbali kama uonavyo pichani ni wanamziki maarufu sana dunia kutoka huko majuu....embu tazama kuanzia style ya nguo alizovaa Kanye West,Fat Joe,Ne-Yo,Lil Wayne na kumalizia na Swizz Beatz.....Je wadau zangu mnamuona nani kafunika kuliko wote hapo ambaye kw njia moja au nyingine ametoka bomba mbaya......?

2 comments:

S & R said...

I personally like lil' wayne's style simple yet creates a statement!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

I like lil wayne's outfit simple and gud luking i like the art done on that t shirt