Friday, 15 June 2007

Thx 4 Telling Them The Truth About Africa......!

Huwa inatiaga sana moyo ninapoona mwaafrika popote pale aliko akiwa anaireprsent vyema afrika na kukubali nakujionea ufahari uafrika wake kwa njia yoyote ile na kwa njia tofauti kuanzia kwenye jinsia na vivutio mbalimbali vinavyopatikana barani afrika n.k Kusema ukweli napenda sana inapotokea mtu au watu wa namna hiyo...napenda sana kumshukuru sana mrembo judith kwa ujumbe wake huo matata...Gud Job J!

3 comments:

S & R said...

I want that T-shirt...SO

Anonymous said...

Nimependa message ya hiyo t-shirt na vilevile dada anaonekana ana body nzuri sana

Anonymous said...

wewe sheria nitumie hiyo,t-shirt faster mwanangu...........machota hapa