Hayo ndio mapigo ya kujilipua baseball cap n unamalizia na tshirt na jeans...embu uone nimekupa kuanzia Fossil Red Dial Watch,Billabong Lush Hat,Billabong Justice T-Shirt,Nearly black '512' denim jeans na converse na double ulimi..
Hivi kwa nini unapenda sana haya makopo (fossil)? Hizi ndizo saa unazovaa nini? Badili saa basi kuna design tofauti na haya makopo hayana nafasi kama unataka kuwa stailishi. afadhali uweke hata Movado
4 comments:
Converse i really amire this shape its a shoe thts u shuld not miss in your stock
eermm..Sheria i hv a request..can u put a picture of urself..i mean as u did last time and ppl coment on it...thx...it's candy1
Hi,
kuna mashirt ya kiume yana urembo mbele, mostly wanavaa na suti!
hivi pia ni poa kwa straight guy,
nipe stock oja nione basi
Mammie Belgium

Post a Comment