Tuesday, 5 June 2007












Warembo nadhani mmeona stock hiyo niliyoweka leo itawasukutua kinoma na kuwakata kiu kwa ujumla...embu jaribuni kutazama kuanzia stock ya kwanza juu mpaka chini ndipo utajua ni kiasi gani stock hizo zilivyotulia...embu tazama kuanzia Fossil Wood Link Watch,Black side link belt grab bag,Daytrip Polka Dot Trim Shirt,Sash Belt,Gaucho Pant na Naughty Monkey Busy Shoe...shamim upo hapo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ukiwa mtaani halafu apite binti amepiga style hiyo halafu ana figure ya uhakika lazima mtafutane awe amevaa kama besta,ray c au kylln lazima utatoa credit mkuuu ni sooo.....