Sunday, 1 July 2007

Classic!








Hayo ndio mapigo Classic wadau zangu nadhani mapigo yote niliyoweka si mchezo...basi gwaride la utambulisho linakuwa kama lifuatavyo kuanzia chini nimekuwekea Formal Travolta,Affliction Cross Jean,Black Belt,Thomas Pink Formal Shirt na hiyo Messidor watch......

1 comment:

Anonymous said...

Acha kuweka mapigo ya kihindi hapa. Cuff Links na jeans huwezi kuita classic. Hivyo vitu haviendi pamoja.