




Warembo leo nimeona niwadunge viatu hivyo vinavyokwenda kwa jina la Dollhouse Pattie Shoe...basi mnyambuliko mzima nimeona niukamilishe kwa kuambatanisha na Lulu Pieced Clutch,Sunglasses,BKE Stretch Faux Patent Belt,Daytrip Textured Shirt pamoja na hiyo Freshwear Striped Knee Short....vipi warembo judith,shani,candy1,shamim?
2 comments:
i love the whole thing. Those shoe are soo in.
luv the shorts..and the bag..and the sunglasses...mmh..pretty much everything
Post a Comment