Dress 2 Impress!
Naona leo nimefurahi sana kupata stock hii ya mdau wangu mkubwa shani aliyko huko mbele ...da kusema ukweli nimefurahishwa na ulipukaji wake pamba nyepesi na pamba nzito kwa wakati mmoja..da mrembo mm sina la kusema tena maanake umetoka bunduki sana kwenye hiyo picha na umevaa fresh sana kutokana a mwili wako na umenawiri sawia kwenye hiyo stock...Big Up sana....
3 comments:
du Shani ni bora umekaa maana ungesimama hapo pangekuwa hapatoshi kabisa.......hahahaha missing u sana tu
du Shani ni bora umekaa maana ungesimama hapo pangekuwa hapatoshi kabisa.......hahahaha missing u sana tu
MMMHHHH...that's all what i can say...it's candy1
Post a Comment