
Hayo ndio mapigo ya kuvalia leggins siku hizi warembo...basi hapo sina la kusema la zaidi ila kazi ni kwenu warembo kujilipua na mlipuko kama huo na nimeona nikudunge kuanzia Black portfolio grab bag,Purple striped spot tunic,Mid Mandy Black Leggings na Flat shoes hizo.........
No comments:
Post a Comment