Monday, 2 July 2007

Mapigo Simple!Part 2....



Wakurugenzi nimeona leo nianze kuwapa mapigo simple sana ili muone mabadiliko maya ya blogu yenu hii...leo nimewapa mapigo simple kwa pande zote warembo na nyie wakuu wangu...sasa kama uonavyo stock hizo pichani nimekudunga kuanzia Floyd Neck Shirt Blue Jumper,Towers Carpenter Jeans na hizo Clarks....

No comments: