Tuesday, 3 July 2007

Paris Hilton in Maui!



Paris Hilton in Maui over the weekend...da kusema wel huyu demu anacharuka vibaya sana..daaaaaa hivi hii inatokana uwezo alionao na utajiri ndio vinampa uwaruwaru huo ama basi ndio kazaliwa hivyo?wadau embu nipeni maoni yenu hivi huyu demu agekuwa kazaliwa kwenye familia ya kati au chini angekuwa na vituko namna hiyo?

2 comments:

Anonymous said...

paris got the body, ilove her style.

Anonymous said...

Sheria,

Lazima tukubali ya kuwa she is sizzling hot lakini vile vile jina la hilton nalo limeplay part kubwa