Wednesday, 4 July 2007

Simpleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!








Hayo ni baadhi ya mapigo simple wakuu wangu..sasa sina la kusema sana ila embu mchambue wenyewe stock zimekaaje..hapo nimeona nikuwekee kwanza hiyo Cream Dial Watch,Twister Sleeveless Tank Top,White linen shirt,Lenny Linen Trousers na hilo kobadhi la kufumwa kama mkeka wakuu na baada ya kujipigilia namna hiyo basi zoezi zima litakuwa limekamilika kwa kiasi cha juu sana....

1 comment:

Anonymous said...

Oya acha mambo yako ya kihindi. Kila siku ni simpo simpo na ukiweka klasiki basi nayo ni simpo vile vile. Ushamba umezidi wewe Mrombo. Mpaka saa robo hii sijaona kitu cha maana zaidi ya huu utumbo unaouita simpo.