Sunday 30 September 2007

SHERIA & MAVAZI FASHION BRAND COMING SOON!!!!!!!!!!!

Sheria & Mavazi Fashion Brand Coming Soon wadau zangu...pichani ndio Brand Logo yangu ambayo itapatikana mitaani soon kupitia nguo na style tofauti tofauti za mavzi kuanzia brand na international brand nyinginezo zitakuwa zinapatikana kwangu... Wadau zangu mpo hapo?

14 comments:

Anonymous said...

nimekusoma mzee wa sheria na mavazi hiyo kitu imetulia sanaa haya sisi tunasubiri kwa hamuu

Faith S Hilary said...

Can't wait..........

shamim a.k.a Zeze said...

JAMANI HIYO LOGO TU HIVYO INAPENDEZA JE PAMBA ZENYEWE ITAKUWAJE...I CANNT WAIT....NAOMBA MZIGO WAKWANZA UTUE 8020 FASHIONS PLZZZZ

KEEP IT TIGHT!!!

Anonymous said...

the logo is really creative. i'm with you all the way son. we all cant wait 4 it to drop!

Ash said...

hi, unaposema mitaani u mean mitaa ya bongo au huku tulipo?

DERRICK MUSHOBOZI said...

Sheria your number one fan is back after being through some hard stuff now i am back i was tied up with lots of stuff but now back to business and u know how we do it lets keep the ball rollin i know its been a while but i have an excuse for that son.

Derrick.

Anonymous said...

gud job mwana..sasa hizo pamba zapitakan wapi..au ndio hadi turudi nyumbani?lebo imetuliaa

Sheria Ngowi. said...

Hi totoo za kwako?ulipotelea wapi?Nilitaka kuwaewesha wadau zagu kwa ujumla ya kwamba hizo nguo ambazo zitakuwa zinatengenezwa chini ya lebo au logo hiyo pamoja na stock nyingine za brand tofauti tofauti zitakuwa zinapatikana bongo na kwa wale watu wa nje wataweza kufanya shopping online bila matatizo na kupata huduma sawa na wale watakaozipata pale nyumbani..hayo yte kwasasa bdo nashughulikia ili kitoke kitu cha uhakika...nadhani mmenielewa vizuri wadau zangu nw?

Anonymous said...

taste the rainbow?

Any meaning behind it?
Hope you will post my comments


No doubt, very creative!
-still anon

Anonymous said...

Sheria sheria, lebo yako umechagua nzuri sana ila angalia usije kosa wateja maana vitu nya RAINBOW huwa ni mahususi kwa gays. What are you trying to tell us? Please change the lebo otherwise you will raise a lot of questions and straight customers will never come to buy your stuff. Kazi kweli kweli kaka...

Anonymous said...

That's what i thought too!

It's your choice to have the rainbow but at the same token straight people wont touich it.

There's a lot of gay designers but you never see them putting the rainbow on their products.

My advice,if you wanna make the dough.....change the label!
-still anon

Sheria Ngowi. said...

thanx 4 ur comments...but let me clear this to u...my logo has nothing to do with gays...i knw wat am doing...whoever thinks in different way should bear this in mind dat fashion is just the matter of creativity...and i had no idea if this logo represents gays as u say....i just designed it....pliz dont take me wrong...and there is alot of logos out there wit such colours, do u want to tell me that they also represent gays? or is it bcoz my logo is based on fashion? i think am clear...

Anonymous said...

Use of the Rainbow Flag by the gay community began in 1978 when it first appeared in the San Francisco Gay and Lesbian Freedom Day Parade. Borrowing symbolism from the hippie movement and black civil rights groups, San Francisco artist Gilbert Baker designed the rainbow flag in response to a need for a symbol that could be used year after year.

The 6 Colors of the flag are Red for life Orange for healing Yellow for sun Green for nature Blue for harmony Purple for spirit


sasa hapo mmeona kama ni rangi hizoo tuu mbona haina rangi kama hizoo acheni ushambaa na kukurupukaaa

Anonymous said...

I was wonԁering іf yοu еνer
thought of changing the ѕtгucture οf
your websitе? Its νeгу ωell writtеn;
I loѵe ωhat уouve got to sаy.
But maybe you could a little moгe іn thе
way of сontent so ρeoρle could сonnect with
іt bеtter. Youvе got an aωful lot of text for only having onе or two images.
Maуbe you соuld sρace it оut bettеr?
My web page: online shopping clothing