Monday, 8 October 2007

Daytrip Jewel Tube Top & Black pencil skirt!!!!!!!!!!!!!!











Haya Haya warembo na wadau wakubwa wa blog hii hayo ndio mapigo matata sana ambayo yako simple sana na yamekaa kiutu uzima..kama kawaida nimeona nikudunge kuanzia hapo chini Report Jillian Shoe,Black pencil skirt,Daytrip Jewel Tube Top (Front & Back View),Chain Link Necklace,Sunglasses,Doctor's Bag,Rhinestone Bracelet na kumalizia na huo unyunyu wa BKE Original Fragrance

No comments: