Huyo ndio mmoja kati ya mdau wangu No.1 wa blogu ...Ms,Shani akiwa katika pozi nene sana....Mama Shani upo?Mhhh kusema kweli hilo pozi limekaa kichokozi sana...Big Up Sana.....U luk Gud....Wape salanu Texas.....
5 comments:
Anonymous
said...
Dar yani nimuonapo tu huyu mtoto huwa napatwa na msisimko sasa na weza kupata mail yake
5 comments:
Dar yani nimuonapo tu huyu mtoto huwa napatwa na msisimko sasa na weza kupata mail yake
Samahani, natoka nje ya somo!
Njoo tumalizie kujadili kipengele, ili tuende kwenye hatua nyingine ya kuboresha wanajumuiya wa jumuiya ya Watanzania wanao tembelea au wanao blogi.
Tembelea hapa : http://blogutanzania.blogspot.com/
ilia tumalize kujazia dondoo ili tu anze na kipengele kingine.
Idumu JUMUWATA!
No comment,kitururu upo mzee umepotea sanaaa.......
mtoto katulia huyu jamani!
@Derrick: Nipo Mkuu!
Post a Comment