Wednesday, 10 October 2007

Michoro!


Kusema kweli nilivyotumiwa stock hii na mwanablogu mwenzangu Shamim kitu cha kwanza kukitazama kwenye hizo picha ni hizo T-shirt za wakali hao wa Bongofleva AY na Mwana FA...Kusema ukweli michoro au print za kwenye T-shirt zao zimetulia sana kuanzia....Safi sana wabongo wenzangu kwa kuzidi kuwa wabunifu................na Mwana FA & AY T-shirt zenu zimetulia sana....

2 comments:

Anonymous said...

wamependeza kwakweli ht mi nimezimindo mwanawane...2tavaa wakina 2pac hadi lini??nshachoka mie..safii sana ay n binamu!1

Faith S Hilary said...

Woooow....that is so cool...i want 1 like dat..lolz...ila Big up..I luv it