Wednesday, 21 November 2007

Mambo Ya Ally Rehmtullah's Prism Break..





Ally Rehmtullah ni mmoja kati ya wabunifu wazuri sana katika fani hiyo...mimi kwa upande wangu naweza kusema ni mmoja ya wabunifu wenye mtazamo mzuri kuanzia design zake na choice ya rangi za vitambaa vya nguo zake..naweza kudiriki ni yuko juu na kazi yake imetulia kuliko hata wakongwe wanaojulikana pale bongo...taratibu na utafiki kwa mwendo huo...Gud Job!

No comments: