Usher Noma!
Ninapoongelea watu ambao mimi nawakubali sana kwa uvaaji wao simple na kutoka fresh..basi mmoja kati ya hao ni Usher Raymond...kwa wale walibahatika kutazama AMA (American Music Awards) watajua ni nini nachosema..jamaa anajua kuvaa ikichangiwa na mke wake kuwa stylist anampa tafu sana maanake kuchemka kwenye kuvaa hutokea mara chache sana..je wadau mnasemaje uvaaji wa Usher?
2 comments:
positive
yap kama hapo sawakama wewe....big up sana
D.silaa
Post a Comment