Kama kawaida hiyo ndio Nembo Ya Kampuni inayokuja juu sana kwa kusaka vipaji vya mamodel inayokwenda kwa jina la Dollywood...napenda kuwasihi warembo na wadau wakubwa wa Blog hii walio na Ndoto za kuwa Masupamodel pale bongo wajaribu kutembelea site yao kwa mawasiliano zaidi.....na leo kampuni hiyo ina Introducing 2u Upcoming Dollywood Top model Jessica Thomas Ngowi poses with his brotha Kay....!!For more about Dollywood U Just Visit: www.dollywoodtz.com
4 comments:
Anonymous
said...
safi sana dada ye2 wakilisha we ni mrembo 2...dnt lose hope...2po pamoja.
4 comments:
safi sana dada ye2 wakilisha we ni mrembo 2...dnt lose hope...2po pamoja.
safi sana dada yangu kip it rill dnt loose hope 2po pamoja...2nakuwakilisha
Congrats great job
yap yap anafaa sanaa ila kina lundenga wasije mfyatua maana hawachelewii....
Post a Comment