Salam Za Xmas & New Yr
Salam za Xmas Na New Yr zimetoka kwa mrembo na mdau wng mkubwa Sophia Mk akiwa anawataka watu wote kila la Kheri na mafanikio tele katika sikukuu hiyo..na mm namshukuru sana kwa salamu zake hizo na kumwambia mlipuko aliolipuka kwenye hyo snapu ametoka nyoko sana...Big Up sana Sophia....Salamu kwa Jasmine
6 comments:
Dada katoka nduki ile mbayaaa
Dah!!dada aminia...anajua kupanilia sana,bomba mbaya...
mbuti ya beyonce umeipata wapi dada yangu? na mimi naitaka sana. Mambo ya Dereon hayo. Please naomba unijibu hapa hapa kwa sheria.
mbona kama nakujua wewe mdada,enzi zile za kilakala!!!
waooo...xmass ilikuwa safiiiii
Gud lukin very nice big up sana
Post a Comment