
Wadau wa Blog hii hayo ndio mambo ya Smart Outfit yanapokuwa yamepigiliwa ipasavyo...kama kawaida kuanzia chini nimekuwekea Bikkembergs Loafer,Mens CNT Khaki Trousers,Calfskin Spur Belt,Damson Shirt With A Colourful Floral Bloom Print,Dark Chocolate Velvet Blazer.............
1 comment:
Dah mkuu sijui nisemeje hapa maana hii outfit si mchezo sina la kusema ila nakupa big up sana kiyu kimetulia sana
Post a Comment