Wednesday, 2 January 2008

New Year Wishes 4rm Derrick!

Mkuu napenda kukutumia salamu zangu za mwaka mpya wa 2008 nakutakia mafanikio mema uwe mwaka wenye heri na fanaka kwako na uwezekufanikiwa katika kila jambo utakalofanya hiyo picha hapo Juu Mdau wng Derrick Mushobozi akiwa na wife wake mtarajiwa...Na kwa niaba yangu na wadau wa blog hii tunakutakia pia Happy New Year In Advance wewe na mama pembeni ...Na Inshort Mama Kavaa Simple na katoka Unique na mkuu wng sina la kusema kama kawaida unrepresent...Well Done Son...

No comments: