1.Stye Ya Nywele..
2.Style Ya Kilemba.3.Ful Mlipuko..
Kuanzia wiki hii nitakuwa naweletea mitindo mbalimbali ya mavazi ya kiafrika kutoka kila kona ya bara letu....basi kwa kuanzia hii leo nadhani mnaona pichani mlipuko wa maana uliolipukwa na mama wa kiafrika pichani juu...na pia anakuonyesha ukivaa au usipovaa kilemba mlipuko unakuwaje...nadhani mdau wangu Paulina,Jema Kimbu nk hapo nimewagusa?
1 comment:
Umetugusa penyewe mshirika!!!!
Post a Comment