Friday, 22 February 2008

Anaitwa 75!

Kweli duniani kuna vituko..watu wameamua kutafuta sura ya dada yake 50 cent atakavyokuwa na kupa sura hiyo pichani...kwakuwa 50cent anajiita hivyo na mtoto wake kumwita 25cent then dadake ataitwa 75 cent ...mnaonaje hapo?ha aha aha ahaha

No comments: