Bongo Ni New York!
Unaposikia Bongo Ni New York itabidi ukubali ingawa mandhari sio kama ya wenzetu ila bururdani Usipime...kama pichani nadhani utaona yale mambo ambayo watu wengi tunadhi nyumbani hakuna sasa kwa kukupa dondoo basi cheza na hizo picha nilizowadunga wadau mniambie....
3 comments:
Ungekuwa umeshafika NYC usingeandika huu upuuzi. Hivyo vinguo mitumba ndio ulinganishe na NYC?
Ah jamani anony hapo juu... mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni! Hawa vimwana wamependeza sana. Na kama ni suala la mtumba, nadhani aliyevaa mtumba ni huyo Flaviana matata!
wote wamependeza jamani kwanini majungu halafu wewe unaesema NYC unamdanganya nani watu wengine hapa tumetembea miji mikubwa sana ambapo wewe na ukoo wako wote katika maisha yao hawategemei kufika hata moja kwa hiyo nyamaza.weka vijinguo vyako tuone basi eti NYC .mayaya bwana tabu tupu halafu mimi hata ukinijibu unajisumbua maana pia nakaa New yorkkkkkk ok
Post a Comment