Tuesday 26 February 2008

BONGO LIFESTYLE!






Hayo ndio maisha na matanuzi ya Bongo wadau..kusema ukweli mtu kwao na ukitaka maisha ya kujiachia na kula raha basi Bongo na Lifestyle ni wazimu na ndio mwisho...kumbukeni wadau ''Home Sweet Home''..embu wadau wacha niwaache mpate charge kidogo kwa kucheza na hizo Snapu...

No comments: