
Hayo ndio mambo ya British Style kwakuwa Waingereza ndio watu wanaopenda sana uvaaji wa namna hiyo na kusema ukweli mimi binafsi ni mmoja kati ya washabiki lukuki wa style hiyo..nikianzia chini nimeanza kwa kuweka Clarks Black Desert Boot,Double A Cord Pant,Grey tonal grid check shirt,LS Knit Cardigan na Citizen Eco-Drive Watch
No comments:
Post a Comment