Saturday, 9 February 2008

FABAK FASHION SHOW!



Fabak Fashion show hiyo iliyokwenda kwa jina Lady in Red iliandaliwa na Asia Idarous wa Fabak Fashion...Show hiyo ilifanyika jana usiku katika ukumbi wa ndani ya Moevenpick Hotel zamani ilikuwa ikijulikana kama Sheraton hotel au Royal Palm...kuanzia picha ya kwanza juu na ya pili ni mamodel walikuwepo kwenye show hiyo na picha ya mwisho ni warembo Klynn na Nancy....picha zote kwa hisani ya www.bongocelebrity.com

1 comment:

Anonymous said...

nimeipenda top ya nancy..ni bombaa...