
Ile show inayosubiriwa kwa hamu kubwa kutoka kwa Designer Fatma Amour inayotarajiwa kufanyika Tarehe 8th March imeshaanza kupamba moto kama muuonavyo pichani juu ni Poster pamoja na Ticket za show hiyo na Ticket zinapatika kupitia...... Dollywood Tanzania
3rd Floor
Mavuno Building
Azikiwe Street
Dar es Salaam
P.O. Box 33023
Tanzania
ph: 255 22 2772479
fax: 255 22 2772479
alt: 255 757 900000
info@dollywoodtz.com
No comments:
Post a Comment