Saturday, 9 February 2008

Mambo Ya Orange!




Hayo ndio mambo ya Orange wakubwa ukiwa umejilipua simple..ukianzia chini utaona nimekuwekea Tommy Hilfiger Simple Snickers,Hurley One & Only Short,Polo Orange T-shirt,Men's stainless steel watch with black and orange dial......

3 comments:

Anonymous said...

Umetupeleka Holland sasa mkuu...

Sheria Ngowi. said...

napenda kukujibu mdau wangu ambaye ni anonymous haha ah ahahaa ahaha sio kwamba nawapeleka holland ila si unajua tena kuna baadhi ya rangi ni adimu sana kuzikuta katika fashion lakini ukiipata na kumatchisha fresh mambo yanakuwa safi kabisa au sio?haha ahha ahaaha

Anonymous said...

Nimekusoma mkuu...