Warembo mapigo ya leo ni Unique kinoma nadhani mtaniunga mkono kwa hilo kwa jinsi mmechisho ulivyokwenda shule....kuanzia chini nimekuwekea Gold Dress Shoe,Rosette Halter Dress,Gold Necklace,Covered Hoop Earring,Gold Wallet & Jlo Glow Shimmer ltd edition Perfume
5 comments:
Sheria... mie labda nina matatizo.. yaani hizi perfume za hawa kina jlo, sijui naomi campbell, david beckham n.k sishawishiki kabisa kununua, yaani hata kujaribu kuzinusa sitaki! Naona kama uzushi tu! Mie bado nipo tu kwa perfume za wabunifu wa majina makubwa. Labda nina matatizo nipeni ushauri ili mnishawishi!!!
Hi mdau wangu/anonymous hapo juu..kwanza napenda kukushauri kimoja...hizi perfume za watu kama uliowaorodhesha zinakuwa nzuri sanasana ila sio zote...maanake watu hawa sio kwamba wanatengeneza wenyewe ila wanaendaga kwa watu/kampuni kubwa za utengenezi perfume kama madesigner wakubwa wanavyofanya na wao kuingizwa maabara na kupewa aina tofauti tofauti za harufu na formula za perfume ambao wao binafsi kwa njia moja ama nyingine walitoa mapendekezo yao....na saa nyingine wakienda kwny makampuni makubwa na maarufu ya utengenezaji wa perfume ukitaka kitu kizuri na harufu yenye mvuto basi dau lake ni tofauti na wengine wanashindwa nakuchukua perfume za kawaida ambazo hazina hata harufu ya kuvutia na wao kuziuza kwa majina yao tu kama akina beckham,madona,britney ila perfume kama za SeanJohn,Jlo ni balaa jaribu na utaniambia mdau wng....kumbuka hata hao madesigner wakubwa saa nyingine perfume zao zinakuwa za kawaida ila kwa kutumia majina yao na umaarufu wanauza sana....au unaonaje mdau wng?nimejibu swali lako na umeridhika hapo?karibu sana
Asante sheria kwa jibu, pia kwa ushauri mwanana. Nitajaribu kupitia hizo za Jlo na Sean John. Asante kwa kunifumbua macho kuhusu utengenezwaji wa perfume. Kazi njema!
Asante sheria kwa jibu, pia kwa ushauri mwanana. Nitajaribu kupitia hizo za Jlo na Sean John. Asante kwa kunifumbua macho kuhusu utengenezwaji wa perfume. Kazi njema!
Usijali mdau wangu huu ni wajibu wangu kuelekeza na ukae u kuuliza sio ujinga ila ni kutaka kuwa na uhakika nashukuru sana kwa kuniuliza swali pia...fanya hima basi ujaribu hizo stock then utakubaliana na usemi wng...cheerz
Post a Comment